Exodus 29:28

28 aSiku zote hili litakuwa fungu la kawaida kutoka kwa Waisraeli kwa ajili ya Haruni na wanawe. Hili ni toleo la Waisraeli watakalotoa kwa Bwana kutoka sadaka zao za amani.

Copyright information for SwhKC